728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
27 August 2012

Watundu Squad Juu ya Beat ya Wanene Ent Arusha

Watundu Squad, Kundi la madogo watundu wa kurap Juu ya Beat za Wanene Ent Arusha akiwepo Dogo Tundu pamoja na YungSoja wanaonyesha uwezo katika pini hili Chalii ya ara ikiwa ni kwa hisani kubwa na udhamini wa Vatoloco Soldiers baada ya madogo kupewa nafasi katika summer jam concert pale Stadium Arusha wakati wa show ya StopaRhymes, FidoVato ameonyesha support kubwa kwa kutuwezesha kupiga track pande za noizmekah.com kwa Defxtro so hii ni kwa ajili ya mashabiki zetu wote wa Hiphop tunakuja kwa spidi ya risasi



©2012 Nolniz Blog™
Watundu Squad Juu ya Beat ya Wanene Ent Arusha Reviewed by Nolniz on Monday, August 27, 2012 Rating: 5 Watundu Squad, Kundi la madogo watundu wa kurap Juu ya Beat za Wanene Ent Arusha akiwepo Dogo Tundu pamoja na YungSoja wanaonyesha uwezo kat...

Labels:

[Music][carousel1]

No comments: