Lp Nako na Donee wa Watengwa ndani ya Mixtape moja


Norlens Wales | 7:07 PM |


Music is business but tha real Hiphop is in the streets."asema LP Nako Maarufu kama LongProfit toka ololoo kwa mastreet Dogz aka Junior Nako soldiers,Trak hii ya Maisha mapito alorekodi juu ya beat ya DarshPandit aka Mnene wa Wanene Ent Arusha na vocal zikiwa zimesimamiwa na defxtro pande za noizmekah.com ni concious track yenye street philosophy kibao kuhusu utaftaji na msoto mtaa na nimeshirikiana na Donee from watengwa family.Fans wetu wategemee pini hili na zingine kibao from mixtape project yetu ya pamoja na Donee ambayo itapatikana soon tukimaliza kurecord,for interviews/booking/projects holla 0718894260..Hiphop For Life

©2012 Nolniz Blog™

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS