Download | P Culture ft JCB - Life Can Be [Audio]


Norlens Wales | 3:34 PM |

Ni mkono wa Umbwa aka Chindo Man from Watengwa Family na Vocals zikiwa chini ya Defxtro wa Noizmekah Productions na Humu wanapita Sister P-Culture na JCB. Ngoma inakwenda kwa Jina Life Can Be,ni inspirational hiphop joint yenye mistari ya kuelimisha jamii, Pata kuusikiliza HAPA na endelea kusupport muziki wa Tanzania, kwa mawasiliano zaidi na Mwanadada P-Culture chek naye kupitia nambari +255 782 123 700
 

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS