Effect zero waonyesha uwezo juu ya beat la wajamaica


Norlens Wales | 7:00 PM | ,

Wimbo huu toka kwa effect zero ni matokeo ya freestyl na hatimaye uamuzi wa kuweka sauti sambamba na kundi la REC la kule jamaica katika wimbo wao wa ting deh,Effect zero wakiwa na official tracks zao binafsi,wametokea tu kuupenda ting deh na hatimaye kuuaribia mdundo huo kama vile Mangwea alivoharibia ile track ya Marques Houston-Clubbin" kipindi kileee.hapa ting deh ya effect zero ndo bongoversion, strictly for fun...enjoy 
Credits ziwaendee R.E.C na  DJ Mido plus noizmekah.com kwa kutupa mzukaPia cheki original Video ya wajamaica.....©2012 Nolniz Blog™

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS