May C na track ya Rudgalz


Norlens Wales | 7:06 PM |

May C aja kivingine sasa na track ya Rudgalz ikiwa ni brand new ragga dancehall track alopiga kuwaenzi wakina dada wote ambao wako strong kimaisha,Independece in life is everything na kikubwa kwetu ni kujiamini kuwa tunaweza kupambana na kuzidi hata wakina kaka katika mengi tu,masomo,mashindano na  hata kazikama kazi,pini nimelifanya pande za noizmekah.com nategemea sana support yenu fans wangu,ima back!!!!!©2012 Nolniz Blog™

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS