Ni wimbo mpya kutoka kwa Breazy machozy akikwambia don't worry NA bado ana wapromice kuwaletea vitu vikali zaidi na anacho omba kutoka kwenu ni support ya kutosha kutoka ili aweze kufika pale panapo takiwa
Na kingine cha ziada breazy anapenda sana awe na sponsor ili aweze kusimamia kazi zake jinsi ya kumpata Breazy kwa mawasiliano zaidi unaweza kuwasiliana nae
Contact : 0766876480
Facebook :Breazy Machozy
Twitter @breazymachozy
No comments: