728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
17 July 2013

Download | JAY KAH ft SULTAN WA PWAN - KISIRANI [ Audio]
 
NGOMA MPYA TOKA KWA JAYKAR AKIWA NA SULTAN WA PWANI. NGOMA INAITWA
KISIRANI. IMEFANYIWA CHINI YA STUDIO ZA THUNDERSOUND PRODUZA AKIWA NI
MORBIZ.

"Majina kamil. Ni javis karani mwangu. Ila steji nem ni JAYKAR. Ambalo
ni ufupi wa jina langu kamil.
Kwa sahv nipo na ngoma tano pamoja na hino ambayo naitambulisha kwako mkuu.
Natokeaga kilifornia ndo npo sahv sehem najiegesha.
Mie ni rapper. Napenda kurap kuhusu mziki unao elimisha jamii yan
jamii inakuwa inapata elim kupitia mziki wangu.
Kuhusu masomo. Nliweza kumaliza darasa la nane ila sikuweza kuendelea
na masomo sab ya ukosef wa elim. Ila dalil zpo bado sijakata tamaa ipo
day natazamia kurudia na studies mambo yakiwa sawa.
Kwa sahvi. Miaka npo na 19years old. Nilizaliwa mwaka wa 1994 mwez
wapil tarehe mbil.
Yep ishu na kichupa. Napania kufanya soon ya hii ngoma mpya inaitwa
KISIRANI. NILIYOmpa shav msanii mwenzangu anajulikana kama SULTAN WA
PWANI.
Kabla sijamaliza kitu ambacho mafans hawakijui toka kwangu ni kuwa mi
ni mtoto wa kipekee yan mi tuu. Wenzangu watano hawapo waliaga dunia.
So wazaz wangu yan nawadhamin sana. Yan respect kwao pia.
Kwako pia sab bla ww au bla sapot yako haitowezekana so salute."
Download | JAY KAH ft SULTAN WA PWAN - KISIRANI [ Audio] Reviewed by Nolniz on Wednesday, July 17, 2013 Rating: 5

Labels:

[Music][carousel1]

No comments: