728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
19 February 2013

Download | JCB & MoPlus ft Domokaya - Niende Wapi [Audio]


Hii ni new single toka kwa JCB na MOPLUS ikiwa inapatikana katika kanda mseto yao ya pamoja itakayotoka mwezi wa tatu na kuitwa "Makalla Wa Ukoo VOL 1"..Track hii ya "NIENDE WAPI" imetoka www.noizmekah.com na ni Beat ya Producer Zigilaa na vocal mix yake producer Defxtro,Domokaya toka wamandavako ameshirikishwa katika chorus na pia verse moja kwa mawasiliano ya mahojiano check na MakallaWaUkoo kupitia 0715488255 & 0713641677kufahamu mengi zaidi kuhusu mixtape inayokuja, Ununuzi wa Tshirts  na Stickers za Watengwa,Movement,Nitoke Niende wapi na nyingine kibao.Downoad ngoma HAPA
 
Download | JCB & MoPlus ft Domokaya - Niende Wapi [Audio] Reviewed by Nolniz on Tuesday, February 19, 2013 Rating: 5

Labels:

[Music][carousel1]

No comments: