728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
19 February 2013

Download | 3Skills - HIZO PESA [Audio]


Kundi chipukizi 3Skills wakazi wa FieldForce Kwa Mrombo Arusha kundi likiongozwa na Papaa Mugisha toka makole exagon,BabaNay toka Malola family na Kinyo toka Kino Side na ngoma ya mtindo wa Zouk hii imepewa jina "Hizo Pesa" toka Noizmekah Studios Arusha. "Mbali na kuwa wanamuziki sisi ni wajasiriamali na shughuli zetu za maisha zinatukimu na hivyo 3skills tunataraji kufanya mengi na makubwa katika game la muziki Tanzania,Kwa wadau mbali mbali tunaomba support yenu katika promo ya goma letu, Download nyimbo HAPA  na Kwa Mawasiliano  ya Mahojiano na Promo piga 0712 949 424 au 0654 265 495 au 0713 114 527
 
Download | 3Skills - HIZO PESA [Audio] Reviewed by Nolniz on Tuesday, February 19, 2013 Rating: 5

Labels:

[Music][carousel1]

No comments: