Pata tshirt za Dj Fetty pande za noizmekah duka la hoodmusic fashion house Arusha


Norlens Wales | 2:12 PM |

Wakazi wa Atown na maeneo jirani sasa wanaweza kusogea pande za sakina barabara ya whiterose baada ya triple a club katika duka la "hoodmusic fashion house" 0712539075
Kujitupia tinga kali from tha one and only fettylicious aka Dj Fetty kwa elfu kumi na tano tu tshirts
quality, size zote.
Rangi
Black, Grey, Purple na White.
Design zipo za aina mbili za ukweli people. support tanzanian fashion

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS