728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
18 October 2012

New Track | Young Suma ft Lyrikal Proof - KUNA TIME

Download KUNA TIME by Young Suma ft Lyrikal Proof kutoka Uganda. Ngoma hii ni aina ya picture motion rap producer akiwa ni Stone Town toka Ujerumani.. Boonge moja la songi linaloplay na feelings, me  naamini unaujua mziki mzuri & ur going to enjoy this too
Enjoy...

©2012 Nolniz Blog™
New Track | Young Suma ft Lyrikal Proof - KUNA TIME Reviewed by Nolniz on Thursday, October 18, 2012 Rating: 5 Download KUNA TIME by Young Suma ft Lyrikal Proof kutoka Uganda. Ngoma hii ni aina ya picture motion rap producer akiwa ni Stone Town to...

Labels:

[Music][carousel1]

2 comments:

  1. hii ngoma ni kali vibaya mnooooo na nilihisi sio production ya bongo kumbe kweli maana ina hisia kali mno, ebwanaaaa sinja mengi ila ni bonge la mzigo kama vp radio ziipe promo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yeah true that 100% hamnaga ubishi!! Keep on show your support game ya bongo itafika mbali mkiendelea ku show love na kuzikubali kazi za watanzania wenzetu

      Delete