728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
06 October 2012

MPIGIE KURA QUANBEATZ APERFOM KWENYE BONGE LA SHOW AENDELEE KUUKUZA MZIKI WA BONGO

Akitokea WANENE ENTERTAINMENT ARUSHA ambayo kwa sasa inajitahidi kupandisha vipaji vya wasanii wa Tanzania, huyu ni Producer na msanii ambaye anafanya kazi na WANENE ENT. Pande za AMERICA alipo Producer DARSH kwa sasa.

Kwa ufupi Quantrell Wilkes, anayefahamika zaidi kama "quanBeatz", ni rapper/producer kutoka Mid-West ambaye yupo Wanene Entertainment. Ana nyimbo yake mpya anaitwa My City ambayo amemshirikisha Mac Milli wa Street Capital.

Msanii huyu ambaye pia ni Producer ni mmoja kati ya watu wanaoupa tough mziki wa Bongo pande zile za Amerika ambapo anaziupload ngoma za bongo katika Web tofauti zinazotembelewa sana pande hizo na hata hivyo yuko Tayari kufanya kazi na msanii yeyote wa Bongo! Kumtafuta wasiliana tu na Producer Dash Mmiliki wa wanene Entertainment

Jamaa anakuomba kura yako kama ulivyoona hapo juu unaweza kumpigia kura kwenye link utayoina hapo chini
Mpigie kura hapo aka perform kwenye showcase ya Coast2Coast Chicago.

http://coast2coastmixtapes.com/audiodetail.aspx?audioid=200097

..Wanene's In The House...
MPIGIE KURA QUANBEATZ APERFOM KWENYE BONGE LA SHOW AENDELEE KUUKUZA MZIKI WA BONGO Reviewed by Nolniz on Saturday, October 06, 2012 Rating: 5 Akitokea WANENE ENTERTAINMENT ARUSHA ambayo kwa sasa inajitahidi kupandisha vipaji vya wasanii wa Tanzania, huyu ni Producer na msanii a...

Labels:

[News][carousel1]

No comments: