728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
06 October 2012

Bonta Kuja Na TUKUTANE MAKTABA Toka Mo Records Mwanza

Msanii Bonta ama waweza muita The River Camp Doctor anatarajia kuachia Ngoma yake mpya "Tukutane Maktaba" Mapema wiki ijayo!!
Akiiwakilisha A City na Weusi kwa ujumla, Bonta Concious Akiongea na Nolniz Blog amewataka fans wake wote na fans wa Mziki mzuri (GM) kujua kwamba yupo katika hatua za mwisho katika kuiachia ngoma yake mpya aliyoifanya ndani ya Studio za Mo Record kitaa cha Mwanza Mwanza.
Track hiyo ya Tukutane Maktaba imefanyika Mo Record Producer akiwa ni Q THE DON akishirikiana na AZARD.
Bonta ni moja ya wasanii wakali toka Arusha na Tanzania kwa ujumla na ni kati ya wasanii 10 walioshirikishwa katika ile Epic Collabo "WAZI" ambayo waweza download hapo chini

 Kama kawaida usikose kuendelea tembelea Nolniz Blog kupata info mpyaa na Track kibao!! Kaa mkao, mzigo huo kutoka kwa Bonta utakapoachiwa tuu utasomeka pande hizi!
Kuwa wa kwanza kuisikia ngoma hii, kuwa wa Kwanza kuusapoti mziki mzuri....
UPDATES
NGOMA IMESHAACHILIWA | BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD 
Bonta Kuja Na TUKUTANE MAKTABA Toka Mo Records Mwanza Reviewed by Nolniz on Saturday, October 06, 2012 Rating: 5 Msanii Bonta  ama waweza muita The River Camp Doctor anatarajia kuachia Ngoma yake mpya " Tukutane Maktaba " Mapema wiki ijay...

Labels:

[Music][carousel1]

No comments: