728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
14 August 2012

Godzilla Atamani kuitimiza ndoto yake na 50 Cent

Msanii toka SalaSala 'Golden Mbunda' A.K.A Godzilla kama anavyojiita mwenyewe Kingzilla ameendelea kuonesha matamanio yake ya kufanya kazi na 50 Cent ikiwa ni baada ya kufanya vingi ili aendane na rapa huyo kutoka G-Unit. Mbali na flow zake Zilla jinsi anaimba,  ameamua pia kujijenga kimwili ili aonekane zaidi kama 50 cent pia....!!

Leo kupitia ukurasa wake wa Facebook Godzilla ameamua kuzihirisha hamu yake ya kufanya kazi na 50 baada ya kupost picha yake na ya 50 Cent hiyo hapo chini akiwa ameandika "Kitu ambacho nasubiri ni collabo nathis nigga.only"

Hahahaa dah Vipi unaonaje Zilla anachokifanya akiamua anaweza???
Bila kinyongo me wish you All tha best broda...!! Keep it real

©2012 Nolniz Blog™
Godzilla Atamani kuitimiza ndoto yake na 50 Cent Reviewed by Nolniz on Tuesday, August 14, 2012 Rating: 5 Msanii toka SalaSala 'Golden Mbunda' A.K.A Godzilla kama anavyojiita mwenyewe Kingzilla ameendelea kuonesha matamanio yake ya kufany...

Labels:

[News][carousel1]

No comments: