YOUNG BUCK KWENDA JELA MIAKA MITATU


Norlens Wales | 8:08 AM |

Kama inavyoonekana hivi karibuni karibu kila siku tunaona rapa tunayemjua akihukumiwa kifungo jela, kutoka kwa Beanie Sigel, sasa imekuwa zamu kwa aliyekuwa member ya G-Unit, Young Buck.
Young Buck amehukumiwa kifungo hicho kwa kosa la umiliki wa silaha isivyo kihalali na hivyo kuhukumiwa mara mbili kifungo cha miezi 18
!!
Nafasi bado ipo kwa Buck kukata rufaa kama hajaridhika na hukumu hiyo hivyo kunauwezekano kifungo chake (hukumu) ikapunguzwa

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS