Rick Ross amtambulisha Rockie Fresh MMG


Norlens Wales | 8:08 PM |

Rick Ross mapema leo kupitia Twitter amemtangaza Rockie Fresh kama ujio mpya ndani ya MMG.
Ricky Rozay alitangaza rasmi habari za member mpya wa MMG mapema leo kupitia twitter na ujio huo wa member mpya wa Maybach Music Group family ni Chicago's own Rockie Fresh ambaye kwa mara ya mwisho alitoka na mixtape Driving 88hosted iliyofanywa na DJ Ill Will.
Zicheki tweets mbili za Rozay kumkaribusha Rockie ndani ya MMG "Everyone Welcome @RockieFresh to MMG!! instagr.am/p/M-Wi_yBvO_/

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS