728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
17 July 2012

50-Cent aongeza list ya wanaounga mkono USHOGA

Rapa 50 cent ameongeza jina lake kwenye list ya watu maarufu wanao support ndo za jinsia moja au kama wengi wanavyowaita wanandoa hao "Mashoga"
Vyombo vingi vya habari wiki mbili zilizopita zilipambwa na habari za Frank Ocean na kuhusishwa kwake na ushoga na ndipo katika moja ya interview yake aliyoifanya na MTV UK, 50cent alionesha wazi kumtetea Frank Ocean na kuwatusi wanaomsema vibaya jamaa huyo..
Katika moja ya kauli zake zilizonukuliwa 50 alisema

"Anyone that has an issue with Frank Ocean is an idiot. I think Frank Ocean is a talented artist, I think he's created material that made me know his name, that impressed me, with things he said on a song like 'Novacane.' "

Walipotaka kumlinganisha Ocean na Luther Vandross (ambaye naye kulikuwa na uvumi ni ushoga) 50 cent alionekana kuwa upande wa Ocean akimsifia kwa kipaji chake alichonacho.
Zaidi ya hilo 50 cent alitoa sababu ya yeye kumuunga mkono Ocean japo ameamua aina hiyo ya maisha kwa kusema...
"Obama is for same-sex marriage. If the president is saying that, then who am I to go the other way?"

Cheki Video hapo chini ni full interview 50 akitiririka
Watch the full  interview here:


50-Cent aongeza list ya wanaounga mkono USHOGA Reviewed by Nolniz on Tuesday, July 17, 2012 Rating: 5 Rapa 50 cent ameongeza jina lake kwenye list ya watu maarufu wanao support ndo za jinsia moja au kama wengi wanavyowaita wanandoa hao "...

Labels:

[News][carousel1]

No comments: