728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
17 July 2012

Drake avunja rekodi ya bonge ya mjumba ndani ya California

Akiwa na miaka 25 tuu, Drake ameshusha mjengo wa ajabu wenye thamani ya zaidi ya dola $ 7,700,000  za kimarekani katika moja ya mapango huko California!
Nyumba hiyo ambayo wengi wameiita kama pepo yake Drake ina jumla ya kumbi saba, bafu tisa na ukubwa wa eneo hilo ni zaidi ya futi za mraba 7,444.
Zaidi ya hayo pia kuna uwanja mkubwa wa tenisi,  eneo la vifaa vya farasi watano tano na uwanja wa kuwaendesha, mchanga katika uwanja wa volleyball, Ndani ya nyumba hiyo kuna pool mbalimbali za kuogelea zenye thamani ya mamilioni,  pia yakiwepo maporomoko ya maji ft 80

Kwa ndani  ni pamoja na ukumbi wenye viti 24 kwa ajili ya movies na michezo, chumba cha mchezo,Pollack  ndiye aliyenunua eneo hili kwanza mwaka 2003 na kutumia miaka minne kulifanyia ujenzi na ukarabati wa eneo hili la kuvutia ambalo awali mwaka 2009 liliingizwa sokoni kwa kwa bei ya $ 27,000,000.

Kama wanavyosema "You only live once, so why not live it up in a home like this. You did good Drizzy. You did real good on this one"©2012 Nolniz Blog™
Drake avunja rekodi ya bonge ya mjumba ndani ya California Reviewed by Nolniz on Tuesday, July 17, 2012 Rating: 5 Akiwa na miaka 25 tuu, Drake ameshusha mjengo wa ajabu wenye thamani ya zaidi ya dola $ 7,700,000  za kimarekani katika moja ya mapango huk...

Labels:

[News][carousel1]

No comments: