DIVA SNEAK PEEK - Mgonjwa kwa raha zako Produced by LAMAR


Norlens Wales | 9:37 PM |


Baada ya Diva Loveness Love kutoka na Piga simu, ameutambulisha ujio wake mpya ambao utaitwa 'Mgonjwa kwa raha zako" ambao kwa upande wangu japo katuonjesha kipande kidogo tuu cha wimbo "CHORUS" kutokana na kwamba wimbo haujakamilika bado ila  unaonekana ni mzuri zaidi ya wa mwanzo (Alomshirikisha Diamond)  kutokana na tone yake. Ila usipotambulishiwa kuwa ni nani ameuimba huwezi bisha kwamba ni Ray C kutokana na sauti yenyewe. Diva anategemea kumshirikisha Linex na official song kutoka mwezi wa nane tarehe 28. Msikilize hapo chini na pia waweza DOWNLOAD HAPA
©2012 Nolniz Blog™

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS