728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
15 June 2012

MirryCandle - Mapigo ya moyo

Mwanadada MirryCandle toka ChugaTown arusha sasa anarelease brand new single yake ambayo ni mahadhi ya afrofusion ilotengenezewa pande za noizmekah.com. Ikiwa ni love joint izungumziayo hisia za mwanadada akiwa ameuvaa uhusika wa secret admirer. Ukimya nauvunja kwa kuahidi fans wangu mfululizo wa ngoma kali mfululizo, video yangu ya candlelight pamoja na audio yake, otherwise much respect kwa wadau wote nchini katika media na majumbani, Pamoja sana


DOWNLOAD HAPA©2012 Nolniz Blog™
MirryCandle - Mapigo ya moyo Reviewed by Nolniz on Friday, June 15, 2012 Rating: 5 Mwanadada MirryCandle toka ChugaTown arusha sasa anarelease brand new single yake ambayo ni mahadhi ya afrofusion ilotengenezewa pande za no...

[][carousel1]

No comments: