728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
09 June 2012

Kanye's Lamborghini | Zawadi ghali zaidi kutolewa katika Birthday

Hilo ndio Gari kama zawadi ya Birthday kwake Kanye West alilozawadiwa na Kim Kardashian lenye thamani ya zaidi ya Dola za Kimarekani $750,000!!
Ni katika maandalizi ya Birthday yake Kanye ambaye Tarehe 8/6 (Jana) alitimiza miaka 35 Kardashian alimuandalia BF wake huyo zawadi ya Gari aina ya Lamborghini Aventador LP 700-4 na kutokana na Kanye West pamoja na Jay Z wapo katika ziara ya Watch the Throne Nchini Ireland Mwanadada Kardashian aliamua kurecord na kumuonjesha zawadi hiyo ambayo bei yake kibongo bongo ni boooonge la mtaji kupitia video!!
Na kupitia zawadi hiyo ndio ilofanya huko U.S.A vyombo kibao kutoka na Headlines
"Kim Kardashian is the best girlfriend a guy can have..."
Hebu sasa na Wabongo fanyeni ku copy and paste tuskie na mmoja naye kafanya hivyo sio wao tuu©2012 Nolniz Blog™
Kanye's Lamborghini | Zawadi ghali zaidi kutolewa katika Birthday Reviewed by Nolniz on Saturday, June 09, 2012 Rating: 5 Hilo ndio Gari kama zawadi ya Birthday kwake Kanye West alilozawadiwa na Kim Kardashian lenye thamani ya zaidi ya Dola za Kimarekani $750,00...

[][carousel1]

No comments: