Kanye West Nike air Yeezy II Kutoka mwezi huu


Norlens Wales | 9:37 AM |

Mwanamziki nguli wa Hip Hop Nchini Marekani Kanye West sasa kutoa Toleo lake la pili la Viatu vitakavyokua vikiitwa "Kanye West's Nike Air Yeezy II" baada ya toleo la kwanza la viatu hivyo kufanya poa sokoni
Kampuni iliyohusika na Uandaaji wa viatu hivyo (NIKE) imetangaza rasmi tarehe 9 June viatu hivyo vitaingia sokoni!!
Kanye West's Nike Air Yeezy II vimetengenezwa kwa ngozi na kwa size ya Mguu wa Kanye na vitakuwa katika matoleo mawili ya rangi ambayo ni A platinum version and a Black edition
Viatu hivyo ambavyo picha zake zimekuwa gumzo mitandaoni na kupata kampani kutoka kwa Wanamziki wakubwa kama Jay-Z, Chris Brown, Bun B and Fat Joe walionesha picha za viatu vyao vya Air Yeezy katika account zao za Twitter.

Haiyaa Kama unapenda isue za mitupio ninii mzigo ndo huo soon jikingie!!


©2012 Nolniz Blog™

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS