728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
13 June 2012

Jay-Z Kuja na Mfumo mpya wa Kuchajia simu bila kutumia waya (Wireless)

Tofauti ilivyo kwa ma rapper wengi na watu mashuhuri, Rapper Jay Z ameamua kuunganisha Kampuni ya Duracell Powermat katika mpango wake wa kuweka mfumo wa kuchajia simu kupitia meza za migahawa, bar Gym na sehemu za mikusanyiko ya watu kama njia ya Biashara
Kwa sasa mfumo huo wa kucharge simu Jay z ameshautumia katika Club yake ya kubwa ya 40/40 iliyopo mjini New York


Technologia hiyo ya kimageuzi itawawezesha watumiaji kuweka simu zao kwenye meza kama kawaida wanavyofanya ila tofauti ni kwamba
Kwa kufanya hivyo simu zao zitakuwa zinachajiwa kupitia Meza hizo

Mkurugenzi mkuu wa Duracell Powermat Ron Rabinowitz akiongelea lengo hilo amesema pia kutakauwa na app ya google ambayo itakuwa ikionesha sehemu zenye huduma hiyo

Kweli..
Kadri siku zinavyokwenda ndivyo vitu vinavyozidi kuzinduliwa
Remember this:...
"You can't do today's job with
yesterday's methods and be in business
tomorrow"


©2012 Nolniz Blog™
Jay-Z Kuja na Mfumo mpya wa Kuchajia simu bila kutumia waya (Wireless) Reviewed by Nolniz on Wednesday, June 13, 2012 Rating: 5 Tofauti ilivyo kwa ma rapper wengi na watu mashuhuri, Rapper Jay Z ameamua kuunganisha Kampuni ya Duracell Powermat katika mpango wake wa ku...

[][carousel1]

No comments: