728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
11 May 2012

Auawa wakati wa Shooting ya Collin Farrell

Uchukuaji picha za filamu ya Colin Farrell umeingia dosari baada ya kijana mwenye miaka 18 kuuawa wakati kazi hiyo ikiendelea.


Farrell, 35, alikuwa aishoot filamu iitwayo Dead Man Down ambayo anaigiza kama mdunguaji (sniper) mjini Philadelphia.

Lakini baadaye polisi wa Marekani walikuja kuugundua mwili wa kijana Robert Sneed ambaye alikuwa anatoka kwenye duka moja mjini humo muda kidogo kabla ya crew ya filamu hiyo kuwasili.

Kijana huyo alipigwa risasi mara kadhaa mchana wa jumatatu na lifariki katika hospitali ya Temple University.
Crew hiyo ambayo ilikuwa imeshashoot vipande kwenye maeneo mengine iliendelea na kazi baada ya kuruhusiwa na polisi kuendelea.

Polisi wanaamini kuwa kifo hicho kilitokana na mabishano
Auawa wakati wa Shooting ya Collin Farrell Reviewed by Nolniz on Friday, May 11, 2012 Rating: 5 Uchukuaji picha za filamu ya Colin Farrell umeingia dosari baada ya kijana mwenye miaka 18 kuuawa wakati kazi hiyo ikiendelea. Farrell,...

[][carousel1]

No comments: