Download Ngoma Mpya kutoka Jambo Squad - "Mamong'oo Remix Ft. Arusha United [Audio]


Norlens Wales | 8:41 AM |


Pata kuburudika na Ngoma hii ya Kipekee Toka Kwa Jambo Squad aka Mamong'oo wakiwa sambamba na wasanii kumi na tatu wanaowakilisha Kaskazini Tanzania akiwemo StopaRhymeca, Chindo, BouNako, Moplus, Chaba, Nakaaya, FidoVato, SpacDawg, Kajoli Masai, G-Nako, Ruff G, Nikki wa Pili aka NickMweusi na ChiefMufasa kwa mawasiliano Mahojiano Zaidi Wasiliana na Jambo Squad kwa Nambari +255 653 610 249 au +255 762 164 2410 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS