Download | Lucci & Julio Ft Jokate - Waters Up [Audio]


Norlens Wales | 3:36 AM |


Its about Time! Producer Lucci na Julio wa Big brother Stargame waja na bonge moja la collabo linaloitwa "Waters Up". Ngoma hiyo imekuwa produced katika studio inayoitwa TransforMaX
Records (Mbezi) chini ya producer Lucci ambaye ndiye mmiliki wa studio hiyo. Ilikua produced mwaka 2011 lakini kurekodiwa 2012 na kuachiliwa 2013. Ngoma hii ni genre ya Pop-House ambayo
kwa sasa wasanii wengi wa duniani hufanya.
Enjoy it, love it, support it.
 

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS