Download | Teaz Villah ft. Karama, Lonka, Luley & Soprano - Hatulingani [Audio]


Norlens Wales | 4:15 PM |Teaz Villah Producer wa Hit maker nyimbo kadhaa Kama Hakuna Matata, Lonka,  Buguruni - Mirror,Mawenge Nayo - Montana Dinyo ft. Shadooh na nyingine kali ambazo zinafanya vizuri tu.....
Nakuja na ngoma yangu mpya Nimeshirikiana na Karama,Lonka,luley na Soprano nyimbo inaitwa HATULINGANI ni story ya kweli ambayo imenitokea mimi mwenyewe baada ya kurecord nyimbo hii baada ya wiki moja yakanitokea so ni story ya kweli kabisa.....
Asanteni kwa kunipokea...


0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS