Download | Msami Baby - Soundtrack [Audio]


Norlens Wales | 6:37 PM |
Ngoma inakwenda kwa jina "Sound Track" ya msanii  ambae pia  ni choreographer  wa Dance mbalimbali za wasanii wengi wakubwa  akitokea Tanzania House Of Talents (THT),  kazi imefanywa na  Producer Mkomoro  Djoban  ambae ameproduce Hit kama Kibaba ya Makomando,Sex -by Rachel na  nyingine kibao.
kwa mawasiliano zaidi/Mahojiano na Promotion check na Msami  kwa Nambari +255 719 100 535  +255 716 483 645

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS