728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
10 January 2014

Download | KCK - Zanzi Bar [Audio & Lyrics]

KCK-Zanzi Bar  LYRICS
TRACK:Zanzi-bar.
ARTIST:Kck Supremacy.
PRODUCER:DefXtro.
STUDIO:Noizmekah.

Intro.
Mazoezi yanaanza leo ni push ups za kutoa mafegi,kubanja, matungi,haya nikihesabu mnaenda sawa wanafunzi wangu?
SAWA MASTER(loud voices)
Kiroba,pfshhhii,
Fegi,pfshhhii,
Gomba,pfshiii,
Bia ,pfshhhii,
Zanzi ,zanzi ,zanzi

CHORUS.
Tuko zanzi-bar,tunapiga zanzi.(× 8)
)

Verse 1.
(SPACDAWG)
Android iko bondi, Mianzi,
Dada em lete Zanzi,
tuko Zanzi bar, hauoni nna mamanzi,
Viroba ka'sita palipo hiki kibenji,
Hatujakata baku ndo ikatusoma genji'
(BOOX)
Niletee key ya Rover,me nnae Range,
Nioneni kamanda Kova au ,Abbas Marenji,
Zanzi imeanza panda, naanza leta marinji,
Usizani zanzi-bar ni mitaa ya Zenji,
(SPACDAWG)
Tumekata genji ya, Babangida,
Tumetoka dar mpaka, ma-bangibar,
Tukasepa dwas mpaka, ma- Zanzibar,
Tukaziita Zanzi na, zikaja shazi,
(BOOX)
Tukashusha tenzi za ki-Lil Danze,
Muhudumu cheche harudishi change,
Anasubiri tuzime akatupige Benz,
Na si' tunataka penzi,sijui atapita wapi,
Akwepee kitanzi,Kwangwaree waterbed,
Anapiga Zanzi.

CHORUS (× 8)

Verse 2.
(BOOX)
Kuna mabeibee wakali na mamraka wa mazimba, kishazi,
Wako fasi dwas,wanapiga Zanzi,
Asee niaje D mbona me sina manzi,
Kuna mwenye Galafaxy na anayo toyo,
Na kuna nokia tochi na ana Harrier kali,
Inabidi aje fasi, tupige Zanzi,
(SPACDAWG)
Manyang'au shazi nao, wako wako ganzi,
Geboo,nimezungukwa counter na yigidi yeboyebo,eboo ni nywele za wadada vinightmare vya party,vipaja paja white,
Kuvaa kitchen party,vinavikuku kati,
Vinapiga Zanzi,kwa nyagi kwenye baa ya Zanzi,
(BOOX)
Mama la mama Bronx,anaeza timba dwas,
Akazima kombe, akamwaga pombe,
Na Zanzi-bar zikawa, hazina Zanzi,
Atasepesha shazi Dawg itakuwa dazi,
(SPACDAWG)
Haina daz Boox me namuwahi mamaa,
Nataka oga kibox na konyagi,mix kimjamaa,
Meneja soko Zanzi,check kiujamaa,
Si' tunataka kazi ona ona noma si' tumekaa baa,tunapiga Zanzi.

CHORUS

Outro

Zanzi kwikwi, ilimzima Bronx,ikamzima Brooklyn, wakaondoa shazi lenye kwikwi la uandishi wa hii track,dx noizmee pro dee, yechuu
Download | KCK - Zanzi Bar [Audio & Lyrics] Reviewed by Nolniz on Friday, January 10, 2014 Rating: 5

[Music][carousel1]

No comments: