Download | B SHOP MAPOZ - NAOGOPA FEDHEA [Audio]


Norlens Wales | 3:04 AM |


Baada kufanya vizuri kupitia ngoma ya "AMENUNAJE" iliyofanyika chini ya mtu mzima Maneck, msanii "Bshop Mapoz" ameufungua mwaka vizuri kwa kuachia ngoma mpya inayoendelea kufanya vizuri katika vituo kadhaa vya radio hapa nchini wahenga walisema kimya kingi kinamshindo na kupitia ngoma hii amedhihirisha alikuwa anatunga sheria pata nafasi ya kuisikia ngoma hii iliyofanyika chini ya mtu mzima "Amiger Tyger" producer anayekuja vizuri katika tasnia ya muziki wa Tanzania

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS