728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
25 December 2013

Lyrics | North Dwellers ft Dee Cee - Original [Audio & Lyrics]
 
INTRO:
Sisi sio wanachama wa chama flani hapa nchini
Wala mapolitician sisi ni wana harakati tunasmamia reality
Uongo keep quiet hatuhitaji muongozo wa spika sisi tunatiririka
Blah blah tumezichoka John Black hapa naskika? Eeh? Eeh?(echo)

VERSE ONE(SLIM)
Finali uzeeni mtaji wa maskini ni kuhusle kwa umakini/
Crack your head never backdown /
kufeli mitihani si kufeli maishani/
Ila elimu usiikimbie ikumbatie/
itumie ikutoe darasani usizubae/
Pambana ujikomboe/
usingizi ni umasikini ukatae/
aliye juu usimngoje chini/
 juu kwa juu mtimbie/
tears always win (tears always win)/
Yes nakiri Tanzania nchi tajiri ila unyonyaji/
umekithiri viongozi hawana habari/
Wameshiba si tuna njaa maisha bora kwa mtanzania/
 yamekuwa maisha bora kwa zao familia/
Wanatupotezea uchaguzi ukikaribia wanatokezea/
wanatibiwa india sisi tunatibia ta ta Taanzania Tanzania(national song melody)
Na tutawang'oaaaa..

(hook)
Usiishi kwa matukio
Kesho huanza leo hiki ndo kioo jiangalie kupitia kioo
Usisahau kuna mawio na machweo
usiache mbachao kwa msala upitao
sa kuwa o o o o original, kuwa o o o o original
kuwa o o o o original fungua upeo usiigize maisha ya video

VERSE TWO.(JOES)
Kila iitwapo leo pain hufungua upeo/
Wapi yalipo mafao kila kona komaa nao/
Kwa akili tunatatua vimeo usiforce matukio/
Mabaya kaka sio fanya mazuri ebwana ndio/
Play your part smart usichoke kaaaza mwanzo mwisho/
Haina tamati usiishi maisha ya show keep it OG/
Tengeneza jala sio msala/
kuwaharibia masala kitaa huo ni ufala/
siku ukiwa na matatizo nani atakusaidia?/
usiwe kikwazo kabla ya kutenda fikiria/
Matatizo mizozo hivo vinaturushia/
Ujinga ni gunia la msumari/Mengi ya kukusudia/
Ubaya ni hatari usiige maisha ya video/
Kuwa o o o  Original fungua upeo/
Bwana mdogo keep it real yoo/


VERSE 3(dCee)
YEAH!!!!
Usisahau ulipotoka kisa fame uliyookota/
Hata siku ukidondoka wa nyumbani watakuokota/
Kumbuka ulivosota hadi ukataka kuokoka/
Nastandardise styles kama hadija mwanamboka/(yeah)

Every day is a new day ila best day ni pay day/
Ni victory defeat and I did it on my way/
Hustle hard leave it true then you better pray/
Na matatizo yakizidi we funga take away/

Hii ni automatic mathematic kwa rap addicts /
Them flip flows zinaroll kama acrobatics/
Hizi hit flows Boom (explosive) call it volcanic/
When I go static check fakes wanavo panic/

Wengi wanafail kukosa creativity na/
Tena wanaishia kuspread negativity/
Positivity ni ngumu sababu hakuna dignity/
Na ndo maana napambana kuface vizingiti(yeah).

(hook)
Usiishi kwa matukio
Kesho huanza leo hiki ndo kioo jiangalie kupitia kioo
Usisahau kuna mawio na machweo
usiache mbachao kwa msala upitao
sa kuwa o o o o original, kuwa o o o o original
kuwa o o o o original fungua upeo usiigize maisha ya video

OUTRO:
Tanzania ni jina tu nchi ni wewe changes ni wewe  jielewe
Yeeeeeeeah! Eea yeeea!

kuwa o o o o original,
kuwa o o o o original Usiishi kwa matukio
o o o o original fungua upeo usiigize maisha ya video
Usiishi kwa matukio
Usiishi kwa matukio(till fade)

John black alchohol 14,I Got John B in da building home boy... Hadjihandro!!!!(jingle)

Lyrics | North Dwellers ft Dee Cee - Original [Audio & Lyrics] Reviewed by Nolniz on Wednesday, December 25, 2013 Rating: 5

Labels:

[Lyrics][carousel1]

No comments: