728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
10 August 2013

Download | King Kapita Ft Dj Kalito & Ryder - Kasema Poa / She say YEAH [Audio]


Zawadi ya Eid kwenu marafiki zangu......Kuwa wa kwanza kuiskia ngoma mpya .... kutoka chaka....mzigo mpyaaa....ujio mpya kabisaa...hit maker mzee wa misemo kutoka kunatatizo kwani mpaka Nigeria nyimbo imefanywa na studio mbili kubwa Tanzania na Nigeria - KASEMA POA ndo jina la wimbo akishirikiana na wa Dj mkubwa Nigeria na ni artist pia akiitwa Dj Kalito na moja ya member wa Fuse og akiitwa Ryder boonge la ngoma na club banger sasa tunaimba na kucheza wote kamwambieni yule mtoto mzuri kasema poa yanii she say yeahhhh...sikiliza huu hapa ukishasikiliza share na wenzako support yenu naomba
 

Download | King Kapita Ft Dj Kalito & Ryder - Kasema Poa / She say YEAH [Audio] Reviewed by Nolniz on Saturday, August 10, 2013 Rating: 5

Labels:

[Music][carousel1]

No comments: