728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
11 July 2013

Vatoloco Gangz MixTape


To all hiphop fans duniani hapa wanadrop Vatoloco gangz na ngoma inaitwa HIZI FLOW ikiwa ni mixtape project itakayodrop soon kwa mtandao, pata kuskiliza joint hii HAPA ikiwa ni juu ya beat ya mambele, support Tanzania Hiphop na kwa mawasiliano zaid check na Vatoloco Gangz kupitia +255 712 674 900
Vatoloco Gangz MixTape Reviewed by Nolniz on Thursday, July 11, 2013 Rating: 5

Labels:

[Music][carousel1]

No comments: