728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
04 March 2013

Download | Lady Yoo - Si Kwamba [Audio]


Mwanadada Yolanda aka Lady yoo ana mengi sana mwaka huu 2013 kwa maana FemCee huyu anaewakilisha vema pande za Sanawari arachuga amekwisha kamilisha collabo track mpya na msanii "YungOmega" wa river camp soldiers katika pini litakalo toka baadae mwezi wa nne iitwalo "kivipi" ila kwa sasa Lady Yoo anakupa kazi yake mpya kabisa toka www.noizmekah.com ambayo ni release ya pili muundo wa hiphop concious track inaitwa "Si Kwamba" download HAPA na kwa mahojiano zaidi piga simu nambari +255 655 394 470
 
Download | Lady Yoo - Si Kwamba [Audio] Reviewed by Nolniz on Monday, March 04, 2013 Rating: 5

Labels:

[Music][carousel1]

No comments: