728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
Wednesday, January 2, 2013

J.Kassam Ft Juma Jazz - Karate


Nawaletea video ya mwanamuziki chipukizi lakini mkongwe kwa umri Juma Kassam ,ambaye pamoja na Muziki pia ni muigizaji na mwanamichezo hususani mchezo wakujihami KARATE.
Usikilizewimbo wake unaojulikana kwa jina la "KARATE" future-ring Juma Jazz na uone jinsi alivyokuja na muelekeo mpya zaidi ya vile tulivyozoea ya nyimbo zenye ujumbe wa mapenzi.
Wasalaam.
E.N.M.Manase
Mdau -Image Profession,
 
J.Kassam Ft Juma Jazz - Karate Reviewed by Norlens Wales on 12:10 AM Rating: 5 Nawaletea video ya mwanamuziki chipukizi lakini mkongwe kwa umri Juma Kassam ,ambaye pamoja na Muziki pia ni muigizaji na mwanamichezo h...

Labels:

Reactions:

[Video][carousel1]

No comments: