Download | Obi - Nilipokuona [Audio]


Norlens Wales | 12:37 AM |Mambo vipi wadau,
Naomba sapoti yenu kwa ngoma mpya ya mwenzangu Obi Elinami.
Track inaitwa Nilipokuona,ni Swahili RnB, imetengenezwa Kenaib Production jijini DSM chini ya Obi Elinami mwenyewe.
Pamoja sana watu wote wa media.
Asante
//JanB

 

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS