Download | BadTaito Ft Moplus - Migengesho


Norlens Wales | 12:14 AM |

BadTaito aka saga sole Mcs toka kijenge ya chini Arachuga wamefungua mwaka vema kwa kudrop brand new track waliomshirikisha Baba wa ukoo aka Moplus, ngoma inakwenda kwa jina migengesho na ni special kwa fans wote all over the world kwa kuuanza huu mwaka 2013,
Production inefanywa pande za www.noizmekah.com chini ya Defxtro,Click hapa kuupata wimbo. Much respect kwa wadau wote all over, Mpango mzima wa mawasiliano kwa bookings pamoja na interviws cheka na Bad Taito Cliq kupitia;
0712981616 na 0765270688
 

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS