DOWNLOAD NEW TRACK | MECCACHEKA Ft NAKAAYA - DARASA HURU


Norlens Wales | 1:57 AM |

MeccaCheka wafanya collabo na Nakaaya na round hii track inakwenda kwa jina "Darasa Huru" ikiwa ni Hiphop track yenye mafunzo tosha kwa jamii,"Tumewajia ki-concious saivi maana Meccacheka wengi wanatufahamu kama wakali wa ngoma za club zaidi kupitia "rakata","cheka Ung'atwe na "pole" tulizorecord mtindo wa kwaito/mdundiko" asema Mwiro ambaye ndio kiongoz wa kundi, Riz asema "Meccacheka tunawashukuru zaidi washabiki wetu wote mnaotupa shavu, kutu-support game letu pamoja na harakati zetu zingine,pia kwa siter Nakaaya na Defxtro pande za noizmekah.com kwa kutupa moyo wa kufanya yetu" kwa mawasiliano/interview na booking za show check nasi kupitia 0654879598 & 0715652878 download darasa huru HAPA.
Enjoy....!!!
 

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS