Tejo-Squad Toka Olmatejoo "A" na ngoma mpya


Norlens Wales | 1:52 AM |

Tejo-Squad,kundi la muziki wa hiphop lenye maskani yake Olmatejoo "A" baada ya "simsms imara" toka Grandmaster Records sasa wanadrop na ngoma yao mpya kabisa ikiwa ni mdundo toka Mwanza "RockCity" kwa producer Yusuf wa Mkoko ikiwa ni pini linalozungumzia "unyama ndani ya giza" na matukio yaliyo ya uhalisia kwani yanahusu maisha yetu sisi pamoja na machiz wetu,Mc KoploMali asema "Tunakomaa na game kwa support mingi ya Ally Rasta, TichaMbega, Ommy, MoshiOmari.Mc mwingine "AbbyWarda asema "Hiphop ni maisha yetu one love wa media zote,Shabani na WatuKaya 4 life pata track yetu HAPA na kwa mawasiliano zaidi check nasi kupitia 0756 649 263.Pamojah

 
©2012 Nolniz Blog™

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS