New Track | Arusha Artists na track "Arusha Kilele"


Norlens Wales | 1:28 AM |

Katika kusherehekea Arusha kuwa Jiji, Artists kutoka kaskazini kwa pamoja wamerecord track pande za noizmekah studios kwa hisani kuu ya Serikali yaani Ofisi ya Mkuu wa mkoa na Manispaa ya jiji na nyimbo inakwenda kwa jina la "Arusha Kilele" inayozungumzia mema na mazuri tele kuhusu Arusha.sikiliza na kudownload hapa kusupport Tanzanian music.
 
©2012 Nolniz Blog™

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS