HIZI NDIZO NYIMBO MAALUMU ZILIZOIMBWA KUMUENZI MAREHEMU SHARO MILIONEA


Norlens Wales | 4:12 AM |

Katika kuonesha upendo, umoja na ushirikiano kati yao, Hizi ni baadhi ya nyimbo walizozitoa baadhi ya wasanii wakitanzania katika kumuenzi Marehemu Husein Ramadhan Mkiete maarufu kama SHARO MILIONEA,

MONAGANSTER & BONGO ALL STAR - REST IN PEACE SHARO
 
WISTON MAKANGARE - SHARO UMEKWENDA
 
TUNDAMAN, MIRROR & RAYMOND - RIP SHARO MILIONEA
 

0 comments:

Facebook Comments by Nolniz

Post a Comment

 
NOLNIZ © 2012 -2018 - Designed by NORLENS