728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
27 November 2012

Christmas na Mwaka Mpya ndani ya Penguin Resort Hotel - Arusha.

Hotel Main Building


Karibuni Penguin Resort Hotel kwa mapumziko ya mwisho wa mwaka ikiwa ni sikukuu ya Christmas au mwaka mpya au siku nyingine yeyote, tuna vyumba vizuri na vikubwa, eneo kubwa na salama la parking, maji moto, internet. Tuna vyakula mchanganyiko  vya kitanzania na vya kigeni. Hoteli ipo Sakina jirani na Sakina Supermarket, barabara ya Nairobi/Moshi. Kumbuka hoteli ni mpya kabisa. Waambie na friends wengine pia.

Hotel Reception

Karibuni wote Penguin Resort Hotel.!
Ukija wewe mwenyewe tunakupa I night complimentary for accommodation. Tell a friend..!

Hotel Main Entrance 

Mawasiliano 

Emilias Sylvester
-General Manager

;Simu 
+255 27 2547711
+255713 260027 / +255784 827466
-Barua pepe  
penguinhotelarusha@yahoo.com


©2012 Nolniz Blog™
Christmas na Mwaka Mpya ndani ya Penguin Resort Hotel - Arusha. Reviewed by Nolniz on Tuesday, November 27, 2012 Rating: 5 Hotel Main Building

[][carousel1]

No comments: