728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
06 November 2012

DOWNLOAD | EXCLUSIVE RELEASE JAMBO SQUAD FEATURING JUMA NATURE - BONDI

 Ordinally & Chalii mtoto wa bibi 
Jambo Squad, Mamong'oo manjeree ya ara wanarudi upya kabisa raundi hii wakiwa wamemshirikisha Juma Nature, "Bondi" ndiyo jina la wimbo, verse ya kwanza akiwa amesimama Ordinally,ya pili Chalii mtoto wa bibi na kwenye hook,mtu mzima Juma Nature,, "tunaendelea kusababisha hapa na baba la baba John Blass, fans wetu wakae mkao wa kula tu sasa ni kulalisha kwa fasi,,wasema Jambo Squad

Song; Bondi
Artist(s); Jambo Squad ft Juma Nature
Studio; Grandmaster Records Prod; John B(John Blass)
Twitter; @grandmastertz
Chalii mtoto wa bibi, Ordinally, JanB & Juma Nature

John Blass Mallya For,
Grandmaster Records, Mega Music, Cannibal Shattah & Makini Music
+254729990851,+255787276352
www.grandrecs.com
www.prezzomusic.com
DOWNLOAD | EXCLUSIVE RELEASE JAMBO SQUAD FEATURING JUMA NATURE - BONDI Reviewed by Nolniz on Tuesday, November 06, 2012 Rating: 5  Ordinally & Chalii mtoto wa bibi  Jambo Squad, Mamong'oo manjeree ya ara wanarudi upya kabisa raundi hii wakiwa wamemshirikisha...

Labels:

[Music][carousel1]

No comments: