728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
13 November 2012

Baada ya kimya sana huu ndio utakua ujio mpya wa Almando Bam


Kutoka kwa Almando Bam akitokea Ngarenaro kitaa cha Arusha baada ya kimya cha muda mrefu sasa ameamua kuja kivingine kwa kuachii hii free style akiwaweka ma fans wake sawa kwa kigongo atakachokiachia katikati ya mwezi huu. Bam akiongelea ujio wake huo amesema ngoma yake hiyo  mpya na kwamba fans wakae mkao wa kubonya 'Nisedere bidenge' kama kawa anakuja ku take over...
Hiki ni kipande (Demo) ya wimbo Mchana usiku misele alichoniskilizisha ili niwaskilizishe na wadau pia kama kukaa sawa na ngoma yake mpyaa
Enjoy.......
 
Baada ya kimya sana huu ndio utakua ujio mpya wa Almando Bam Reviewed by Nolniz on Tuesday, November 13, 2012 Rating: 5 Kutoka kwa Almando Bam akitokea Ngarenaro kitaa cha Arusha baada ya kimya cha muda mrefu sasa ameamua kuja kivingine kwa kuachii hii free...

[News][carousel1]

No comments: