728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
01 October 2012

NYIMBO INAYOTESA MITAA YA ARUSHA KWA KASIMBAYA

NYIMBO INAYO TESA MITAA YA ARUSHA KWA KASIMBAYA
Nyimbo ambayo kila Dj wa Arusha anapoanza show yake kwenye radio anaanza nayo.......
Kwa mara nyingine tena Muhuni anayemilikiwa na kampuni ya MACHALII ENT. inamtambulisha KAPUKU DIGITAL AKA MITISHAMBA baada ya kumtoa kwenye hatari ya maisha yenye dhambi nyingi sasa ameingia mkataba na kampuni ya Machalii tayari kwa kutayarisha mixtape yake itakayo zinduliwa mwaka 2015 ndani ya Arusha.
KAPUKU amekubalika kwa kasi ndani ya mitaa ya Arusha hasa kwa wahuni, Mungu nipe A Town ni fleva ndogo kutoka kwenye mixtape yake ambayo jina la Mixtape litatoka 2014 mwishoni.
Kwa kuwasiliana naye, interviews na makila kinga onana nae KAPUKU kupitia CEO WA GENGE LA MACHALII ARUSHA
0655288796

.
©2012 Nolniz Blog™
NYIMBO INAYOTESA MITAA YA ARUSHA KWA KASIMBAYA Reviewed by Nolniz on Monday, October 01, 2012 Rating: 5 NYIMBO INAYO TESA MITAA YA ARUSHA KWA KASIMBAYA Nyimbo ambayo kila Dj wa Arusha anapoanza show yake kwenye radio anaanza nayo....... Kwa...

Labels:

[Music][carousel1]

No comments: