728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
06 September 2012

G Nako ft Nikki wa Pili, Fundi Samwel & Sarah - Bado Ngware (RMX)

Akiiwakilisha N2N, G.M.F na Weusi kwa ujumla, G-Nako ama waweza muita G-Wara Wara ameamua kuifanyia Rmx ngoma yake ya Bado Ngware ambayo mwanzo aliifanya akiwa amemshirikisha Peter Msechu. Katika  Rmx ya 'BADO NGWARE' G Nako ameiambia Nolniz Blog kupitia Mweusi, Abdulaziz wa Nyeusi kwamba ngoma hiyo sasa atakuwepo Yeye mwenyewe G-Nako, Nikki wa Pili, Fundi Samweli pamoja na mwanadada Sarah..!!

Pia Gnako ameongelea juu ya Video yake na Marlow inayoitwa 'Kipepeo' director wa video hiyo akiwa ni Johnson Lujwangana

Mbali na kazi zake hizo mbili mpya, pia ameitonya Nolniz Blog kuwa video ya Lord Ez "Sanaa" na ya Joh Makini "Manuva" zimemalizika kushootiwa  na Panchito Del Manchin hivyo fans wakae mkao wa kula kwani vitu hivyo vyote hivyo vikali yaani Bado Ngware Rmx, Kipepeo aliyomshirikisha Marlow, Video ya Sanaa yake Ez pamoja na Manuva ya Joh ni kwa ajili yao na vitakapokamilika vitasomeka pande hizi so stay tune mzeee!!

©2012 Nolniz Blog™
G Nako ft Nikki wa Pili, Fundi Samwel & Sarah - Bado Ngware (RMX) Reviewed by Nolniz on Thursday, September 06, 2012 Rating: 5 Akiiwakilisha N2N, G.M.F na Weusi kwa ujumla, G-Nako ama waweza muita G-Wara Wara ameamua kuifanyia Rmx ngoma yake ya Bado Ngware ambayo mwa...

Labels:

[News][carousel1]

No comments: