728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
28 September 2012

Biography | G Nako & Niki wa PiliG Nako 

George Sixtus Mdemu, maarufu kama G Nako ni mtoto wa pili katika familia ya watoto watatu,akiwa mtoto wa kiume pekee katika familia yao,alizaliwa Arusha,akasoma Meru Primary na baadaye Nangwa Tech. Alianza muziki mwaka 1999 akiwa ndani ya kundi la Chronic Mob pamoja na Bou Nako na baadaye mwaka 2004 alihamia kundi la Nako 2 Nako, baadhi ya hits alizohusika ni pamoja na Ndo Zetu, Bang, Right Here na Bado Ngware,amewahi kufanya kazi na wasanii kama Lord Eyz,Joh Makini,The Artist na AY


Nikki Wa Pili
Jina kamili Nickson Simon,mzawa wa Daraja Mbili Arusha,aliyesoma Arusha Sekondari na chuo kikuu Dar-es-salaam,kichwa cha river camp,mdogo halisi wa hiphop star Joh Makini,anafahamika zaidi kwa hits zake kama good boy,ujamaa na higher,baadhi ya wasanii aliokwisha kufanya nao kazi ni pamoja na Joh Makini,Rama D,Pipi na G nako,Weusi Kampuni Wote G Nako na Niki wa Pili watakua katika wimbo wa 'Wazi',utakaowashirikisha wasanii wengine kama Cannibal,Nakaaya,Mo Plus,JCB,Bonta,Thai aka Tha 1,Tricky D.T pamojah na Slim Deezy na Joes toka North Dwellers

John Blass Mallya 
For,
 Grandmaster Records, Mega Music, Cannibal Shattah & Makini Music 
+254729990851,+255787276352
www.grandrecs.com
www.prezzomusic.com


©2012 Nolniz Blog™
Biography | G Nako & Niki wa Pili Reviewed by Nolniz on Friday, September 28, 2012 Rating: 5

[Biographies][carousel1]

No comments: