728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
12 August 2012

New Track | YungOmega amechafukwa na roho Stadium hadi kwa Lowassa

Mtoto wa RasOmega toka River camp soldiers,Sinoni Arusha anayejulikana kama YungOmega aka Party pipo anarelease single yake ya tatu sasa aloipa jina "chafukwa na Roho" ikiwa ni exclusive joint kwaajili ya pipoz tunaostruggle kupita maelezo kwasababu ya uongozi hewa,Ufisadi uliokithiri na rushwa ilotawala mitaa yetu kote nchini.YungOmega ni mmojawapo kati ya Upcoming Concious RaggaDancehall artists wa kaskazini na joint limesukiwa pande za noizmekah.com kwa defxtro,Nimeshapanda show kibao na kwa wanaonipa support,wasikose kuibuka pande za sheikh amri Abeid siku ya iddi mosi mamchana ntachana pale alafu watu wangu wa Monduli ntaibuka pande zenu usiku wa iddi mosi pale Emanyatta lodge kwa bonge la Ragga show nikiwa na Majembe Bounako,Moplus DopDoi na FidoVato©2012 Nolniz Blog™
New Track | YungOmega amechafukwa na roho Stadium hadi kwa Lowassa Reviewed by Nolniz on Sunday, August 12, 2012 Rating: 5 Mtoto wa RasOmega toka River camp soldiers,Sinoni Arusha anayejulikana kama YungOmega aka Party pipo anarelease single yake ya tatu sasa alo...

Labels:

[Music][carousel1]

No comments: