728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
21 August 2012

Picha | Mambo Jambo Summer Jam Arusha ilivyokuwa siku ya Iddi mosi

Ikiwa ni tamasha la kwanza kabisa la aina yake kufanyika jijini Arusha kwa mwezi wa Agosti 2012,Mambo Jambo Summer Jam ilifanyika siku ya Jumapili pale Sheikh Amri Abeid Stadium tarehe 19 ikiwa ni siku ya Idd El Fitr ilifana sana kwa umati wa wakazi zaidi ya elfu nne toka Arusha,
Wasanii wote waliowakilisha katika tamasha walishangiliwa vilivyo na hakika mashabiki walifurahia burudani hiyo ilotolewa kwa hisani kubwa ya Mambo Jambo Radio 93.0 FM Arusha.Much love kwa fans wote wa Muziki Arusha na mambojamboradio.com
Zaidi ya burudani


Bou Nako na mashabiki kutoka Arusha

Mashabiki wqakilisogelea jukwaa kupata burudani kwa ukaribu zaidi

Msanii Tiger akilishambulia vilivyo jukwaa

Ni G-Nako, Abdulaziz wa Nyeusi na Nikki wa Pili katika poz

Sehemu ya jukwaa palipokuwa pakisababishwa


©2012 Nolniz Blog™
Picha | Mambo Jambo Summer Jam Arusha ilivyokuwa siku ya Iddi mosi Reviewed by Nolniz on Tuesday, August 21, 2012 Rating: 5 Ikiwa ni tamasha la kwanza kabisa la aina yake kufanyika jijini Arusha kwa mwezi wa Agosti 2012,Mambo Jambo Summer Jam ilifanyika siku ya Ju...

Labels:

[News][carousel1]

No comments: