728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
06 August 2012

Mwanadada Kakii toka Kenya atua +255

Mwanadada Kakii toka +254 aka Kenya pande za nairo city atua ndani ya TZ-A City kikazi na hapa anarelease RnB track alorecord noizmekah.com na ameipa jina "Faded away"..My Arusha visit was wonderful i really enjoye the scenery and tha studio time too,kiukweli Tanzania is a lovely place to be,i'e worked on three songs and this slow is my first release kwa fans wangu East Africa yote" Pia amefanya kushirikishwa katika pini la MoPlus-juhudi na hata katika "Pole" ya Mecca cheka" waloimba "cheka ung'atwe"..enjoy
©2012 Nolniz Blog™
Mwanadada Kakii toka Kenya atua +255 Reviewed by Nolniz on Monday, August 06, 2012 Rating: 5 Mwanadada Kakii toka +254 aka Kenya pande za nairo city atua ndani ya TZ-A City kikazi na hapa anarelease RnB track alorecord noizmekah.com ...

Labels:

[Music][carousel1]

No comments: